Tuesday, 8 January 2013

Wewe ni Bwana by Enid


Thanks to this source for lyrics

Verse 1:
Wewe ni Bwana, juu ya mabwana | You are the Lord of Lords
Ufalme wako, wadumu milele | Your kingdom is forever
Wewe ni Bwana, juu ya mabwana | You are the Lord of lords
Umetukuka, milele amina | You are praise worthy forever Amen.

Chorus:
Wewe ni Bwana, juu ya mabwana | You are Lord of lords
Ufalme wako, wadumu milele | Your kingdom lives forever
Wewe ni Bwana, juu ya mabwana | You are Lord of lords
Umetukuka, milele amina | You are praiseworthy forever

Verse 2:
Katoka juu, mbinguni kaja hapa duniani | From heaven you came to earth
kamwaga damu kalivari, ili nipate kombolewa| You spilled your blood at calvary so I am saved
Na nimeokoka, nioshwa dhambi Nimekuwa safi, | I am saved, My sins are washed, I am clean
ninakusifu Milele na milele na mile-ele | I will praise you forever and ever

(Chorus)

Verse 3:
Majaribu yaja, shida nazo zaja | Temptations come, troubles too
Kila siku mbio, ni katika vita | Every day it is battle
Adui hatasita kunimaliza, nami nimeuona mkondo wa Yesu | The enemy wants to finish me, but I follow Jesus
Msaada wangu, tegemeo langu, Mwambwa imara wake nasimama | My help, my haven, I stand on the solid rock
NImeweka imani kwa yule aliye mwaminifu | I have put my faith on the one who is faithful
(Chorus)

No comments:

Post a Comment

What do you think?